Nenda kwa yaliyomo

sift

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiingereza

[hariri]

Kitenzi

[hariri]
  1. kutenganisha au kuchuja vitu vidogo kutoka vikubwa kwa kutumia chujio au ungo
  2. (kifananzi) kuchunguza kwa makini ili kubaki na kilicho bora au muhimu

Tafsiri

[hariri]


Ingizo hili ni fupi linahitaji mtu wa kuliboresha. Unaweza kuisadia Wikamusi kwa kuongezea maarifa zaidi.